habari njema kwa wafanyabiashara na wafanyakazi wa taasisi mbalimbali..arbor car importers ni kampuni inayojishughulisha na uagizaji wa magari kwa bei nafuu sana. sasa tumekuja na mpango kabambe wa kuwawezesha wafanyabiashara na wafanyakazi waweze kumiliki vyombo vya usafiri kwa gharama nafuu sana lakini pia kuwapatia mkopo wa magari usio kuwa na riba ili waweze kukuza biashara zao..kama wewe unafanya biashara ya daladala sasa kampuni itakukopesha gari nyingine kwa gharama nafuuwateja wafuatao watapewa kipaumbele zaidi➡️wamiliki wa shule na vyuo➡️wamiliki wa makampuni ya utalii➡️wamiliki wa viwanda vya kufyatua tofali➡️wamiliki wa vyombo vya usafiri wa umma➡️wamiliki wa viwanda vidogo vidogo,vya kati na vikubwa➡️makampuni ya ujenzi➡️wafanyakazi wa serikali na wa taasisi binafsina wafanyabiashara wadogo waliosajiriwa na mamlaka husik a wote tutawapatia huduma ya mkopo wa magari kwa masharti nafuu sana bila riba.utaratibu wetukama unahitaji gari ya mkopo unatakiwa kuwa angalau gharama nusu 50% ya bei ya manunuzi ya gari yako,kwa wafanyabiashara hakikisha biashara yako imesajiriwa na kwa wafanyakazi hakikisha una copy ya kitambulisho chako cha kazi.kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi tunapatikana dar-es-salaam na dodomaau tupigie kwa simu 0757523135 au 0622688135wote mnakaribishwa.